6 wafariki Njombe wakiwemo watano wa familia moja

Mkuu Wa Mkoa Wa Njombe Dkt Rehema Nchimbi

Watu 6 wamefariki dunia katika matukio mawili tofauti mkoani Njombe Wilayani Ludewa ikiwemo watano wa wa familia moja kufariki katika ajali na mtoto mmoja kuuawa kwa kuchomwa moto.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS