Azam FC uso kwa uso na For Mahia fainaliI KAGAME

Kikosi cha Azam FC ambacho kitavaana na Gor Mahia.

Klabu ya soka ya Azam fc ya Tanzania kesho inaingia katika fainali ya kombe la klabu bingwa ikiwa na hamu ya kuweka rekodi mpya kwa timu hiyo ambayo imetinga fainali hiyo kwa kishindo baada ya kushinda michezo yake yote ya hatua zilizopita.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS