Watanzania wawili kushiriki kuogelea Singapore Vijana wawili anatarajia kuondoka kesho kuelekea nchini Singapore kushiriki mashindano ya tano ya Dunia ya Vijana ya kuogelea yanayotarajiwa kuanza Agosti 25 mpaka 30 mwaka huu. Read more about Watanzania wawili kushiriki kuogelea Singapore