Bado haijathibitika kuingia kwa Ebola -Dkt Vida
Serikali imesema licha ya kuendelea na Uchunguzi wa kubaini ugonjwa uliomuua Mkimbizi mmoja katika kambi ya Nyarugusu ambae inasadikiwa amefariki kwa ugonjwa wa ebola imewataka wananchi kuchukua tahadhari juu ya Ugonjwa huo.