Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza, Kamishna Msaidizi wa Polisi Charles Mkumbo
Watu tisa waliokuwa wakisafiri na gari dogo aina ya Noah namba T812 BJU, wamefariki dunia papo hapo baada ya gari hilo kuacha njia na kupinduka wilayani Misungwi mkoani Mwanza.