Serikali iweke kipaumbele Elimu ya Ujuzi-Dkt.Mengi
Mfuko wa Sekta binafsi nchini Umesema kuwa ili nchi ipate maendeleo endelevu ni lazima Serikali iweke kipaumbele katika Elimu ya ujuzi ambayo ndio chachu ya ufanisi katika shughuli za kujenga uchumi.

