DANCE 100% Makundi yachuana leo Don Bosco Upanga

Moja ya makundi, Mavuno Crew wakionyesha uwezo wao mbele ya majaji katika michuano ya usahili wa pili leo

Lile mbilinge mbilinge la Dance 100% limeendelea leo kwa kufanyika usaili wa pili wa mashindano makubwa kabisa ya kudansi nchini Dance 100% 2015 ambao leo makundi kadhaa yamechuana vilivyo katika viwanja vya Don Bosco Upanga.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS