Maguri asaini kuitumikia Stand United miaka miwili Mshambuliaji aliyetemwa na timu ya Simba, Elias Maguri ametua rasmi Stand United kwa mkataba wa miaka miwili kwa ajili ya kuitumikia katika msimu ujao wa ligi kuu soka ya Tanzania Bara. Read more about Maguri asaini kuitumikia Stand United miaka miwili