WAZIRI KAMANI ASEMA SEKTA YA MIFUGO IMEKUA
Waziri wa Mifugo na Uvuvi Dk. Titus Kamani amesema sekta ya uvuvi nchini imekua kwa kipindi alichokuwa madarakani, baada ya kuanzisha mfumo wa kukuza sekta hiyo na kuwezesha wafugaji kuwa na mifugo ya kisasa yenye tija.