Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Edward Lowassa
Mgombea urais wa chama cha Demokrasia na Maendeleo chadema Mhe.Edward Lowasa amesema atahakikisha anaimarisha upatikanaji wa huduma muhimu kwa wanawake ikiwa ni pamoja na huduma za uzazi.