Kijana tunza shahada yako, tukutane Octoba 25. Kijana tunza shahada yako, usidanganyike wala kukubali kupokea rushwa, tukutane octoba 25 kuchagua viongozi bora kwa nchi yetu. #zamuYako2015. Read more about Kijana tunza shahada yako, tukutane Octoba 25.