Wanawake wachimba madini waomba kupunguziwa kodi
Wanawake wachimbaji wa madini kutoka mikoa ya Tanga,Singida, Manyara na Morogoro wameiomba serikali ipunguze ada ya leseni ya uchimbaji madini ili kuwawezesha kinamama wanaoanza kazi hiyo wasikwame kiuchumi.
