Kura yako moja yaweza kubadilisha matokeo. Octoba 25 tukutane sehemu za kupigia kura, vijana tusiwe wavivu tufanye maamuzi sahihi na ya busara, kura yako moja yaweza kubadilisha matokeo. Read more about Kura yako moja yaweza kubadilisha matokeo.