Kampeni za Vijembe, Matusi hazina Tija-Mongela

Balozi Gertrude Ibengwe Mongela

Rais Mstaafu wa Bunge la Africa na Mbunge wa Zamani wa Jimbo la Ukerewe Mh. Getrude Mongela amesema kampeni za vijembe na mipasho hazina tija kwa taifa ambapo hali hiyo inaweza kuvuruga amani.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS