Ngumi itafanya vizuri All African Games - BFT

Shirikisho la Ngumi za Ridhaa Nchini BFT limesema, wanaamini timu ya Taifa ya Ngumi itaweza kufanya vizuri katika mashindano ya All African Games yanayotarajiwa kufanyika Septemba nne mwaka huu nchini Congo Brazzaville.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS