Mbunge kuwashtaki wanaozomea wenye nguo za CCM
Mgombea Ubunge wa jimbo la Mtwara mjini kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Hasnain Murji, amesema atawafikisha mahakami wananchi watakaothubutu kuwazomea wanachama wa CCM wanaovaa sare za chama na kutembea mitaani.

