Uchaguzi TSA kufanyika Oktoba mwaka huu

Chama cha Kuogelea Tanzania TSA kimesema uchaguzi wa chama hicho uliokwamishwa na mashindano mbalimbali ndani ya chama hicho unatarajiwa kufanyika mwanzoni mwa mwezi Oktoba mwaka huu.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS