NEC yafunga rasmi Uandikishaji BRV Dar es Salaam

Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji Mstaafu Damian Lubuva

Tume ya Taifa ya Uchaguzi NEC imetangaza rasmi kufungwa kwa zoezi la Uandikishaji kwa Mkoa wa Dar es Salaam baada ya kuongeza siku nne na huku wapiga kura milioni 2 laki 8,45, 256 wakiwa wameandikishwa

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS