Ndanda, Azam FC kupambana kesho mechi ya kirafiki Mashabiki wa soka mkoani Mtwara na mikoa jirani wametakiwa kujitokeza kwa wingi uwanjani katika mchezo wa kirafiki kati ya Ndanda Sc na Azam Fc utakaopigwa kesho katika uwanja wa Nangwanda Sijaona. Read more about Ndanda, Azam FC kupambana kesho mechi ya kirafiki