Juma Njwayo Tandahimba apinga kura za Maoni

Mbunge wa Jimbo la Tandahimba Juma Njwayo akihutubia wakazi wa Tandahimba mjini

Mbunge wa Tandahimba anayemaliza muda wake Mhe. Juma Njwayo, amesema hajaridhishwa na matokeo ya kura za maoni katika uchaguzi wa kuwapata wagombea ubunge kupitia CCM uliofanyika hivi karibuni na yeye kushindwa kutetea nafasi yake ya kuwa mgombea

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS