Iringa kupunguza maambukizi ya UKIMWI kwa Vijana
Halmashauri ya manispaa ya Iringa imeanza kupunguza maambukizi ya virusi nya ukimwi na magonjwa mengine ya zinaa baada ya vijana kuanza kuhudhuria kliniki ya huduma rafiki kwa vijana zihusuzo afya ya uzazi na mtoto zinazotolewa katika zahanati mbalim