Mjumbe wa Kamati Mpya ya Miss Tanzania Jokate Mwegelo
Mjumbe wa Kamati Mpya ya Miss Tanzania Jokate Mwegelo amesema kuwa kuvikwa kofia nyingi mbali na majukumu yake mengi haviwezi kumchanganya kuendelea mbele, kusaidia wasichana wenye ndoto kama zake.