Squeezer: Familia ilinisababisha kusimama muziki

Squeezer

Squeezer, nyota kongwe katika tasnia ya Bongo Fleva amewatoa wasiwasi mashabiki kuwa hataacha nafasi ndefu ya ukimya tena, sababu iliyomuweka pembeni kwa muda ikiwa ni kuweka sawa mambo ya kifamilia akiwa kama kaka mkubwa baada ya mzee wake kufariki.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS