Dance 100% robo fainali moto wa kuotea mbali

Jukwaa la Dance 100%

Mashindano ya Dance 100% 2015 hatua ya Robo Fainali yanapamba moto leo hii kuanzia wakati huu katika viwanja vya Don Bosco Oysterbay ambapo makundi 15 yaliyofanikiwa kuingia hatua hiyo yatachuana kupata nafasi 10 za hatua ya nusu fainali.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS