Taifa Stars kujipima na Oman Agosti 24 mwaka huu
Timu ya Taifa ya Tanzania Taifa Stars inatarajiwa kuondoka nchini siku ya Jumamosi usiku kuelekea Muscat Oman, kucheza mchezo wa kirafiki kabla ya kuunganisha kuelekea Istanbul Uturuki kwa kambi ya wiki moja.