Ugonjwa wa kipundupindu tishio -Wizara ya Afya
Katibu mkuu wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii nchini Tanzania Dkt. Donan Mmbando amesema ugonjwa wa kipindupindu umekuwa ni tishio sasa kwa wananchi hivyo amewataka kuchukua tahadhari za kutosha ikiwemo kuachana kabisa na maji ya visima.
