Wakazi wa mabondeni wagoma kuhama
Wakazi wa maeneo ya mabondeni hususan eneo la Jangwani jijini Dar es salaam, wamepinga wito uliotolewa na mamlaka ya hali ya hewa Tanzania (TMA) ya kuwataka wahame maeno hayo, kutokana na tishio la kuwepo kwa mvua kubwa za elnino zitakazonyesha

