Tunahitaji mabadiliko, tupige kura. Vijana tuache ushabiki wa siasa na tumuombe mungu uchaguzi huu uwe wa amani na upendo, tunahitaji mabadiiko kwahiyo na sisi tubadilike na tujitokeae kupiga kura Read more about Tunahitaji mabadiliko, tupige kura.