Serikali imeanza mchakato ya kuwakoa mateka, Congo
Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje Mindi Kasiga.
Serikali ya Tanzania imesema imeanza mchakato na juhudi za kidiplomasia ili kuachiwa huru kwa Masheikh wa Tanzania waliotekwa nyara Kivu ya Kaskazini nchini Congo karibu wiki moja iliyopita.