THRDC na LHRC wapinga Cyber Crime Mahakamani
Mtandao wa watetezi wa haki za binaadamu THRDC pamoja na kituo cha haki za binaadamu LHRC wameamua kufungua kesi kupitia wakili Jebra Kambole kupinga baadhi ya vipengele kwenye sheria ya makosa ya mtandao mpaka pale vitakapofanyiwa marekebisho.

