JKT 835 Handeni kuingiza mbegu mpya za mahindi
Kikosi cha jeshi la kujenga Taifa cha mgambo JKT 835 kilichopo Kabuku Wilayani Handeni kinatarajia kuingiza mbegu mpya ya mahindi ya TMV1 sokoni tani 100 ikwa ni mikakati yake ya kukabiliana na baa la njaa nchini.
