Kocha kikapu Savio njia panda kuchagua timu Zone 5
Kocha wa Timu ya wanaume ya Mpira wa Kikapu ya Savio Datti Makula amesema, yupo njia panda baada ya kushindwa kuchagua kikosi cha wachezaji 12 kitakachoshiriki mashindano ya kanda ya tano inayotarajiwa kuanza Oktoba nne mwaka huu nchini Rwanda.
