Hatujajiandaa na mechi ya Prisons pekee - Azam FC Timu ya Azam FC imesema haijajiandaa na mchezo mmoja pekee wa hapo kesho dhidi ya Prisons bali wamejiandaa na michezo yote katika michuano hiyo ya ligi kuu ya Soka Tanzania Bara. Read more about Hatujajiandaa na mechi ya Prisons pekee - Azam FC