Dkt.Bilal awataka watanzania kuvumiliana

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na waumini wa dini ya Kiislamu.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh Dk. Mohamed Gharib Bilal, amewataka Watanzania kujenga tabia ya kuvumiliana na kutatua migogoro inayojitokeza ndani ya jamii kwa njia ya amani.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS