Watanzania watakiwa kudumisha Amani
Watanzania wametakiwa kudumisha amani na utulivu katika kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba 25 mwaka huu ili waweze kuwachagua viongozi bora watakaowaongoza katika kipindi cha miaka mitano ijayo.
