Serikali kuunga mkono wasambazaji Nishati ya umeme
Serikali mkoani Morogoro imeahidi kuendelea kuunga mkono jitihada mbalimbali zinazofanywa na wadau wa maendeleo,wakiwemo wanaosaidia kufikisha nishati mbadala ya umeme kwa gharama nafuu kwenye maeñeo yanayotoa huduma muhimu za kijamii.
