Baba Levo amepotea njia - Peter Msechu Msanii Peter Msechu amesema kwa sasa hawezi kufanya kazi na msanii mwenzake Baba Levo toka Kigoma, ambao walikuwa marafiki wakubwa kwa kuwa sasa ameshaingia kwenye siasa. Read more about Baba Levo amepotea njia - Peter Msechu