Baby J: hakuna kidume aliyenizuia kufanya muziki
Baada ya uzushi kusambaa dhidi yake kuwa muziki wake ulizorota kutokana na kushikiliwa akili na mwanaume, Nyota wa muziki Baby J aweka wazi kwamba hakuna mwanaume aliyemzuia kuendelea na muziki wake licha ya mahusiano yake ya awali kuingia dosari.