Papa Francis ameiomba Kenya kuwajali masikini. Kiongozi wa kanisa katoliki Papa Francis ameiomba serikali ya Rais Uhuru Kenyatta kuonesha kuwajali masikini na vijana. Read more about Papa Francis ameiomba Kenya kuwajali masikini.