Rais Magufuli afuta maadhimisho ya siku ya UKIMWI.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amefuta maadhimisho ya siku ya UKIMWI na kuagiza badala yake, fedha ambazo zingetumika zinunulie dawa za kufubaza makali ya ukimwi ARV.