Wanafunzi 3,045 waacha shule kwa sababu ya mimba

Wizara ya elimu na mafunzo ya ufundi nchini Tanzania imesema Wanafunzi 3045 wa shule za sekondari pamoja na wanafunzi wa shule za msingi nchini wameacha shule kutokana na kupata mimba katika mwaka 2013 hali inayochangiwa na umasikini katika ngazi ya familia.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS