'Ninaye' ya Baghdad imekuja na Baraka

Rapa Baghdad wa nchini Tanzania

Baghdad, rapa ambaye pia kwa sasa anatambulika kama Baba Kyle, mtoto ambaye amempata sambamba na kutoka kwa kazi yake mpya inayokwenda kwa jina 'Ninaye' Ft Nandy ambayo imepokelewa vyema na mashabiki.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS