Yanga yazidi kuchanja mbuga ligi kuu Bara

Ligi kuu Tanzania bara imeendelea leo kwa michezo sita huku ikishuhudia mabingwa watetezi, timu ya Yanga ya Dar es salaam ikiendelea kuchanja mbunga kwa kuishushia Mbeya City kipigo kizito cha mabao 3-0.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS