Julio atamba kubeba pointi tatu mbele ya Simba SC Kocha wa Timu ya Mwadui FC Jamhuri Kihwelo Julio amesema hana wasiwasi na timu ya Simba kwa sababu anaifahamu na anaamini kikosi chake kinaibuka na pointi tatu hapo kesho. Read more about Julio atamba kubeba pointi tatu mbele ya Simba SC