Wachezaji Simba Sc watakiwa kujielewa katika kazi Kocha mkuu wa timu ya vijana ya klabu ya Simba Niko Kiondo amesema timu hiyo bado ina nafasi ya kuweza kufanya vizuri kama wachezaji watajitambua wanapokuwa uwanjani. Read more about Wachezaji Simba Sc watakiwa kujielewa katika kazi