Watanzania watakiwa kusahau 7-0, waisapoti Stars

Watanzania na mashabiki wa soka nchini wametakiwa kutoikatia tamaa timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars baada ya kufungwa bao 7-0 na Algeria katika mchezo wa marudiano wa kuwania kupangwa katika makundi ya kushiriki kombe la dunia 2018 nchini Urusi

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS