IP yachukua ubingwa wavu ufukweni Dar es salaam Timu ya IP Sports imeibuka na ubingwa wa ligi ya mpira wa wavu mkoa wa Dar es salaam baada ya kuichapa Jeshi Stars Seti 2-1 kwa upande wa wanaume. Read more about IP yachukua ubingwa wavu ufukweni Dar es salaam