Nasubiria ratiba ya kuachia video mpya - Mwana FA Msanii Mwana FA amesema video ya wimbo wake mpya alioenda kufanya nchini Afrika Kusini iko tayari, na kwa sasa anasubiria ratiba atakayopewa ya kuachia video hiyo. Read more about Nasubiria ratiba ya kuachia video mpya - Mwana FA