'In Da Club' yamponza Rick Ross Rick Ross na Rapa 50 Cent Rapa 50 Cent amemshtaki Rick Ross kwa madai ya kuchukua sehemu ya wimbo wake wa 'In Da Club' na kuuchanganya kwenye albamu yake mpya ya 'Black Market'. Read more about 'In Da Club' yamponza Rick Ross