Wasanii hatuna umoja wa kweli - 20 Percent Msanii 20 Percent amesema iwapo wasanii watakuwa na umoja thabiti wenye nguvu, wanaweza kudhibiti wizi wa kazi zao na kuongeza kipato kwao. Read more about Wasanii hatuna umoja wa kweli - 20 Percent